DP Financial and Marketing Services

Friday, April 15, 2011

Operesheni Moto wa Ujasiriamali Mtwara


Hili ni Darasa la wajasiriamali waliohudhuria mafunzo ya namna ya kubuni wazo la Biashara,kuanzisha Biashara na kuandika Mchanganuo/mpango wa Biashara.Mafunzo haya yaliandaliwa na Shirika la Kazi Duniani.Mbele Kulia ni Edwin Mengistu na Neema Msangi;mojawapo ya wataalamu waliotoa mafunzo kutokea kampuni ya Tanzania Association of Professional BDS Providers(TAPBDS).
www.bdsprofessionals.co.tz