| Wataalamu na Washauri wa Biashara kutoka TAPBDS CO.LTD,wakiwa na Waziri wa kazi,Ajira na Maendeleo ya Vijana,Mh.Gaudensia Kabaka,Mkurugenzi wa Shirika la kazi duniani,pamoja na wadau wengine wa serikali na ILO,baada ya kuhitimu mafunzo ya Ujasiriamali na Ushauri wa Biashara yaliyoandaliwa na Shirika la kazi Duniani(ILO) kupitia kitengo cha Youth Entrepreneurship Facility. Feb 2011. |