DP Financial and Marketing Services

Friday, June 21, 2013

Mafunzo ya Ujasiriamali na Ushauri wa Biashara!

Wajasiriamali wa Safari Lager Wezeshwa  Wakiwa Darasani: Wakijifunza  Kuandaa Mipango ya namna ya Kupanua na Kuendeleza Biashara zao.(@GoldenPark Hotel )

Jamhuri Woiso,Mmoja wa wajasiriamali walio nufaika na Programmu ya Wezeshwa,akiwa katika Biashara yake.(Manzese Dar es salaam)

Hii ni Moja wapo ya Biashara zilizoingia katika hatua ya kupata vitendea kazi; Ni Biashara ya Mkaa rafiki wa mazingira,Kwani utengenezaji wa mkaa huu unatumia Makaratasi na Takataka,Biashara. (SINGIDA.)

Wednesday, June 12, 2013

Safari Wezeshwa Programme Trainings

Wajasiriamali  wa programme ya Safari Lager wezeshwa  Wakiwa  katika picha ya pamoja na wakufunzi wao!
Mafunzo yalifanyika Golden Park Hotel Sinza. June 2013.Mafunzo yaliendeshwa na kampuni ya TAPBDS (Wataalamu wa Ujasiriamali na ushauri wa Kibiashara.)

Saturday, June 1, 2013