DP Financial and Marketing Services

Friday, June 21, 2013

Mafunzo ya Ujasiriamali na Ushauri wa Biashara!

Wajasiriamali wa Safari Lager Wezeshwa  Wakiwa Darasani: Wakijifunza  Kuandaa Mipango ya namna ya Kupanua na Kuendeleza Biashara zao.(@GoldenPark Hotel )

Jamhuri Woiso,Mmoja wa wajasiriamali walio nufaika na Programmu ya Wezeshwa,akiwa katika Biashara yake.(Manzese Dar es salaam)

Hii ni Moja wapo ya Biashara zilizoingia katika hatua ya kupata vitendea kazi; Ni Biashara ya Mkaa rafiki wa mazingira,Kwani utengenezaji wa mkaa huu unatumia Makaratasi na Takataka,Biashara. (SINGIDA.)

No comments:

Post a Comment