DP Financial and Marketing Services

Thursday, December 13, 2012

Safari Lager wezeshwa awamu ya pili

Wajasiriamali wanahamasishwa Kuchukua na kujaza fomu kushiriki Safari lager wezeshwa kwa awamu ya  pili,2012/2013.Fomu zinaweza kurudishwa kupitia: Kutuma  kwa njia ya posta Kwenda ( TBL-Safari Lager Wezeshwa, P.O Box 9013, Dar es salaam) au ikabidhi katika kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL), Bohari au Muuzaji wa jumla aliye karibu nawe.
Katika Picha kulia; Meneja wa Safari Lager,Oscar Shelukindo akiongea na waandishi wa habari kuhusu kufunguliwa rasmi kwa zoezi la Kuchukua na kujaza fomu.Nae Mkurugenzi Mtendaji wa TAPBDS CO.LIMITED,Joseph Migunda akiwasisitizia wa Tanzania wajasiriamali washiriki kwa wingi kwani fursa ni kwa wajasiriamali wote.

Pata Fomu hapa!
http://www.wezeshwa.co.tz/wp-content/uploads/2012/12/NOW-WEZESHWA.pdf