DP Financial and Marketing Services

Saturday, May 19, 2012

YOUNG WOMEN ENTREPRENEURS FOR FREEDOM AND CHANGE

Katika Picha ni wanawake wajasiriamali waliohitimu Mafunzo ya Ujasiriamali na Biashara,katika program ya Wajasiriamali Vijana uhuru na mabadiliko(WAVUMA),wakiwa na Wakufunzi na wataalamu wa Ujasiriamali na Mbinu za kuendeleza Biashara,kuanzia kulia wa tatu ni Edwin Mengistu,akifuatiwa na Mary Fransis,Gloria Kalyoto na Veronica Mwamnyange. Aliye simama Kushoto wa Kwanza ni  Gloria Mabele Mratibu wa Programme ya WAVUMA(Wajasiriamali  Vijana  Uhuru na Mabadiliko).Mafunzo yalifanyika KIBAHA.

CHINI: PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA DARASANI KATIKA PROGRAMME YA WAVUMA(WAJASIRIAMALI VIJANA UHURU NA MABADILIKO),ILIYO FANYIKA KIBAHA.
Edwin Mengistu,katika Darasa la ujasiriamali na Elimu ya Biashara;akielekeza namna ya  kuandaa Mchanganuo/Mpango wa Biashara.
Wajasiriamali wa programme ya WAVUMA,wakijaza Mipango yao ya Biashara;huku wakipata maelekezo kutoka kwa Wakufunzi.
Veronica Mwamnyange,Mkufunzi na Mtaalamu wa Ujasiriamali na Biashara, Katika Darasa la Ujasiriamali,chini ya Programu ya Wajasiriamali Vijana Uhuru na Mabadiliko(WAVUMA).

Maelekezo ya namna ya kuandaa mpango wa Kutambua Gharama na kupanga bei. 
Vijana Wajasiriamali  wakiwa buzy kukamilisha Mipango yao ya Biashara.
Wajasiriamali wakiwa katika michezo ya kuchangamsha akili.